Fuatilia na pima afya yako mara kwa mara kwa kutumia nyenzo hizi ili uweze kubadili mfumo wa maisha na uishi maisha bora
Tumia nyenzo hizi uweze kufuatilia ukuaji na maendeleo ya ujauzito wako na pia ujiandae vyema kujifungua salama
Malezi ya mtoto sio rahisi. Nyenzo hizi zitakusaidia kumlea mtoto wako hatua kwa hatua kwa msaada wa kitaalamu