Ujauzito wiki ya 37

Posted by Afya4all Admin on January 28, 2023 in Ufuatiliaji - Ujauzito


Jinsi mtoto wako anavyokua katika ujauzito wiki ya 37
Mtoto wako ameanza kulitoa lile koti la nta nta lilikuwa limeifunika ngozi yake, ingawa bado anaweza akawa na alama za nta nta hii baadhi ya sehemu za mwili wake baada ya kuzaliwa.

Mtoto wako humeza chochote anachokitoa kwenye ngozi yake na hukaa katika utumbo wake mpaka anapozaliwa. Kinyesi chake cha kwanza kitakuwa na rangi ya mchanganyiko nyeusi na kijani, iitwayo (meconium).

Dalili za ujauzito wiki ya 37
Wiki chache zijazo ni mchezo wa kusubiri. Hata hivyo ni vigumu sana kuwa na subira, jaribu kufurahia wakati huu kabla ya mtoto wako hajawasili. Kula vizuri na kupata mapumziko ya kutosha.

Unachotakiwa kufahamu katika ujauzito wiki ya 37
Je umeshaandaa mfuko wako wenye vifaa vyote muhimu kuwa navyo utakapokuwa unaenda kujifungua? Kama kuna vitu vichache ambavyo hujaviandaa katika dakika za mwisho, usiwe na mawazo, angalia katika orodha yetu ya vitu muhimu kuwa navyo unavyoelekea kujifunua kwenye kituo cha afya.

Andaa nguo ambazo mtoto wako atavaa baada ya kuzaliwa na kwaajili ya safari ya kurudi nyumbani. Na kumbuka piakuandaa nguo nyepesi kwa ajili yako mwenyewe.

Hii pia ni nafasi ya mwisho kwa mwenzi au mpenzi wako kurudia kujifunza juu ya jinsi ya kukusaidia unapojifungua na baada ya kujifungua.

Unaweza kumtegemea mpenzi wako kukuongoza wewe katika maamuzi wakati upokwenye uchungu mkali na hautakuwa kwenye hali nzuri ya kutoa maamuzi. Hivyo kumsaidia kumwelewesha ni nini muhimu zaidi mapema ni muhimu.

author-avatar
Published by
Afya4all Admin

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur elit eiusmod tempor sapien dolore incidide undo labore dolore incididunt ut labore turpis vitae raesent varius efficitur ipsum primis cubilia laoreet augue egestas luctus donec diam efficitur ipsum primis in cubilia laoreet augue egestas

Related Posts:

March 11,

Integer congue magna at pretium purus pretium

An enim nullam tempor sapien gravida donec enim blandit ipsum porta justo integer odio velna vitae auctor integer

By Joel Peterson

March 04,

Congue magna eTreeks purus pretium magnis

Donec enim blandit and ipsum porta justo integer odio a velna vitae auctor an integer congue magna at pretium nulla

By Jennifer K.

February 24,

8 neque dolor primis a libero tempus blandit

Porta justo integer odio velna vitae an auctor integer congue magna at pretium purus ligula rutrum luctus risus ultrice

By Michael Deal

February 19,

Ligula varius magna and porta a laoreet pretium

Vitae auctor integer a congue magna undo pretium at purus pretium ligula a rutrum luctus risus and ultrice blandit

By Aaron Wall