Ujauzito wiki ya 33

Posted by Afya4all Admin on January 28, 2023 in Ufuatiliaji - Ujauzito


Jinsi mtoto wako anavyokua katika ujauzito wiki ya 33
Mpaka sasa, mtoto wako pengine kichwa chake kinaangalia chini katika mji wake wa mimba. Watoto wengi vichwa huangalia chini katika hatua hii, ingawa baadhi wanaendelea kubadili uelekeo.

Mifupa ya fuvu la mtoto wako bado ni laini na haijajiunga kabisa. Hii inafanya kuwa rahisi kwa wewe kumzaa, kwani mifupa katika fuvu la kichwa chake inaweza kuingiliana kidogo yeye akiwa anashuka chini ya uke wako.

Dalili za ujauzito wiki ya 33
Unaweza gundua kwamba miguu yako, mikono, uso, na kifundo cha mguu imevimba kidogo. Uhifadhi huu wa maji unajulikana kama (oedema). Mara nyingi ni mbaya katika hali ya hewa ya joto na wakati wa jioni.

Cha kushangaza, kunywa maji zaidi, na sio pungufu, ndio itasaidia. Hivyo, kunywa maji! Lakini kamakuvimba kumezidi, na una maumivu ya kichwa, mtafute mkunga au daktari wako mara moja, kwa sababu hizi wakati mwingine ni dalili za (pre-eclampsia).

Unachotakiwa kufahamu katika ujauzito wiki ya 33
Kuhakikisha wewe na mpenzi wako mnakuwa na namba zote muhimu kwenye simu zenu - mkunga, daktari na wodi ya wazazi. Kama una watoto wakubwa, panga na mtu kwa ajili ya kuwatunza kwa siku zile utakazokuwa umeenda kujifungua kwani utashindwa kukihudumia kichanga na kukidhi mahitaji ya watoto wengine wakubwa kwa ufanisi.

author-avatar
Published by
Afya4all Admin

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur elit eiusmod tempor sapien dolore incidide undo labore dolore incididunt ut labore turpis vitae raesent varius efficitur ipsum primis cubilia laoreet augue egestas luctus donec diam efficitur ipsum primis in cubilia laoreet augue egestas

Related Posts:

March 11,

Integer congue magna at pretium purus pretium

An enim nullam tempor sapien gravida donec enim blandit ipsum porta justo integer odio velna vitae auctor integer

By Joel Peterson

March 04,

Congue magna eTreeks purus pretium magnis

Donec enim blandit and ipsum porta justo integer odio a velna vitae auctor an integer congue magna at pretium nulla

By Jennifer K.

February 24,

8 neque dolor primis a libero tempus blandit

Porta justo integer odio velna vitae an auctor integer congue magna at pretium purus ligula rutrum luctus risus ultrice

By Michael Deal

February 19,

Ligula varius magna and porta a laoreet pretium

Vitae auctor integer a congue magna undo pretium at purus pretium ligula a rutrum luctus risus and ultrice blandit

By Aaron Wall