Ujauzito wiki ya 31

Posted by Afya4all Admin on January 28, 2023 in Ufuatiliaji - Ujauzito


Jinsi mtoto wako anavyokua katika ujauzito wiki ya 31
Je mtoto wako anakufanya uwe macho usiku? Katika wiki chache zijazo, kusogea na kucheza kwa mtoto wako kunaweza kuanza kuwa kwa haraka na kwa nguvu zaidi kwa kua anakua kwa kasi sasa.

Mtoto wako anaweza kusogeza kichwa chake upande na upande, viungo vyake vinaendelea kukomaa na safu ya mafuta inazalishwa chini ya ngozi yake.

Dalili za ujauzito wiki ya 31
Unaweza kujisikia kuishiwa pumzikidogo wakati wa hizi wiki chache kabla ya kuzaliwa kwa mtoto wako. Hii hutokea kwa sababu mji wa mimba yako umeongezeka hivyo kubana mapafu yako na misuli mikubwa katikati ya kifua ambayo husaidia kupumua.

Kuishiwa pumzi huku kutaendelea mpaka mtoto wako atakapo shuka chini katika mlango wa uzazi. Hii hutokea katika wiki ya 36 ya mimba ya kwanza na pengine si mpaka kuzaliwa kama ulishawahi kujifungua kabla. Kama umekuwa ukifanya mazoezi katika kipindi cha ujauzito wako, mazoezi mapole yanaweza kusaidia kupumua kwako kwa sasa.

Hata hivyo, kama haukua umeelekeza nguvu katika kua kufanya mazoezi huko nyuma, kuanza kufanya mazoezi sasa hivi inaweza kufanya tu ujisikiekuishiwa pumzi zaidi.

Je uzito wa tumbo lako unakupa maumivu ya mgongo? Jaribu kutokuinua chochote kizito, kwani italeta maumivu kwenye mishipa yako laini. Ni kawaida kupata maumivu ya nyonga wakati mimba ikiendelea.

Unachotakiwa kufahamu katika ujauzito wiki ya 31
Kama wewe na mpenzi wako mnapata woga kuhusu ile siku kubwa, inaweza kusaidia kupitia mlichojifunza katika madarasa ya wajawazito. Mazoezi yakupumua mliojifunza pamoja pia mnaweza kuanza kuyajaribu.

author-avatar
Published by
Afya4all Admin

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur elit eiusmod tempor sapien dolore incidide undo labore dolore incididunt ut labore turpis vitae raesent varius efficitur ipsum primis cubilia laoreet augue egestas luctus donec diam efficitur ipsum primis in cubilia laoreet augue egestas

Related Posts:

March 11,

Integer congue magna at pretium purus pretium

An enim nullam tempor sapien gravida donec enim blandit ipsum porta justo integer odio velna vitae auctor integer

By Joel Peterson

March 04,

Congue magna eTreeks purus pretium magnis

Donec enim blandit and ipsum porta justo integer odio a velna vitae auctor an integer congue magna at pretium nulla

By Jennifer K.

February 24,

8 neque dolor primis a libero tempus blandit

Porta justo integer odio velna vitae an auctor integer congue magna at pretium purus ligula rutrum luctus risus ultrice

By Michael Deal

February 19,

Ligula varius magna and porta a laoreet pretium

Vitae auctor integer a congue magna undo pretium at purus pretium ligula a rutrum luctus risus and ultrice blandit

By Aaron Wall