Ujauzito wiki ya 28

Posted by Afya4all Admin on January 28, 2023 in Ufuatiliaji - Ujauzito


Jinsi mtoto wako anavyokua katika ujauzito wiki ya 28
Mtoto wako sasa anaweza kufungua macho yake na kuwa na ari ya kuelekeza kichwa chake kwenye chanzo endelevu cha mwanga mkali. Kucha zake zinatumbika, na tabaka/safu ya mafuta inaanza kujijenga chini ya ngozi yake akiwa anajiandaa tayari na maisha ya nje ya mfuko wa uzazi.

Kama wewe utapenda wazo la kuzungumza na mtoto wako wakati yeye bado angali ndani yako, basi kuimba na kumsomea ni njia nzuri ya kufanya hivyo. Njia za neva za masikio ya mtoto wako zimekamilika sasa. Usijali kama utahisikuwa na wasiwasi kuwasiliana na mtoto wako kwa njia hii. Sio kila mtu yupo tayari kufanya hivi, ila ni vyema kutambua kuwa mtoto wako tayari anasikia kila kitu unachosema.

Dalili za ujauzito wiki ya 28
Simuda mrefu umebaki kwa sasa. Uko katika miezi mitatu ya mwisho, ambayo itaenda hadi mwisho wa ujauzito wako, kwa kawaida wiki 40 au zaidi. Unaweza kumwonadaktari wako au mkunga wako mara nyingi zaidi kuanzia sasa. Si lazima kusubiri mpaka siku yako ya kliniki kama unataka kujadili kitu chochote, au una tatizo ni vyema kwenda au kuwasiliana na daktari mara moja.

Pengine hupendi unavyohisi. Unaweza kufikiri, (Nimekuwa mjawazito milele), au labda ukahisi, (siko tayari kwa hili). Hakika haupo peke yako. Kubadilishana ujuzi na wamama wajawazito wengine kwenye madarasa ya wajawazito yaweza kukusaidia na kukutuliza kimawazo.

Unachotakiwa kufahamu katika ujauzito wiki ya 28
Kama wewe ni baba, unajisikiaje kuhusu kuona mpenzi wakoakienda kujifungua? Kujua nini kinatokea wakati wa uchungu ni njia nzuri ya kujiandaa kwa ajili ya tukio hili litakalobadilisha maisha yenu.

Wakati mwingine, mambo yanaweza yasiende sawa kama ilivyotarajiwa wakati wa uchungu na kujifungua. Mtoto wako anaweza kuhitaji msaada ili azaliwe. Ongea na daktari au mkunga wako kuhusu huduma mbalimbali juu ya kusaidiwa kuzaa na kuhusu upasuaji, ili uwe umejiandaa vizuri na kuweza kumsaidia mwezi au mpenzi kupitia taratibu zote kama itahitajika.

author-avatar
Published by
Afya4all Admin

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur elit eiusmod tempor sapien dolore incidide undo labore dolore incididunt ut labore turpis vitae raesent varius efficitur ipsum primis cubilia laoreet augue egestas luctus donec diam efficitur ipsum primis in cubilia laoreet augue egestas

Related Posts:

March 11,

Integer congue magna at pretium purus pretium

An enim nullam tempor sapien gravida donec enim blandit ipsum porta justo integer odio velna vitae auctor integer

By Joel Peterson

March 04,

Congue magna eTreeks purus pretium magnis

Donec enim blandit and ipsum porta justo integer odio a velna vitae auctor an integer congue magna at pretium nulla

By Jennifer K.

February 24,

8 neque dolor primis a libero tempus blandit

Porta justo integer odio velna vitae an auctor integer congue magna at pretium purus ligula rutrum luctus risus ultrice

By Michael Deal

February 19,

Ligula varius magna and porta a laoreet pretium

Vitae auctor integer a congue magna undo pretium at purus pretium ligula a rutrum luctus risus and ultrice blandit

By Aaron Wall