Ujauzito wiki ya 16

Posted by Afya4all Admin on January 28, 2023 in Ufuatiliaji - Ujauzito


Jinsi mtoto wako anavyokua katika ujauzito wiki ya kumi na sita
Mtoto wako kwa sasa ana ukubwa sawa na parachichi. Mwili wake unaanza kufanya kazi sasa. Mzunguko wa mtoto wako na njia ya mkojo unafanya kazi kikamilifu. Katika wiki chache zijazo atakuwa kwa haraka sana.

Dalili za ujauzito katika wiki ya 16
Maumivu ya mgongo, kiuno na mapaja yanakusumbua? Maumivu haya yanaweza kuwa dalili nyingine kipindi cha ujauzito iitwayo (Pelvic Gidle Pain)

PGP hutokea pale homoni ya “relaxin” inalegeza ligamenti kwenye nyonga yako. Kama unapata wakati mgumu kutoka kwenye gari au kukaa na kusimama kwa muda mrefu zungumza na mkunga wako au daktari. Kama hautapata msaada mapema kwa tatizo hili mapema linaweza likaleta shida zaidi kadiri ujauzito wako unavyokua.

Unachotakiwa kufahamu katika ujauzito wiki ya 16
Ni kawaida kabisa kuongezeka uzito wakati wa ujauzito. Kama umeanza na uzito wa kawaida kwa urefu wako (bodymass index) unaweza kuw umeongezeka kati ya 2kg na 4.5kg. Japokuwa ongezeko kubwa la uzito wako huanza kutokea baada ya wiki 20 za ujauzito, uvaaji wa nguo za kubana unaweza ukawa ushaanza kuuchukia.

author-avatar
Published by
Afya4all Admin

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur elit eiusmod tempor sapien dolore incidide undo labore dolore incididunt ut labore turpis vitae raesent varius efficitur ipsum primis cubilia laoreet augue egestas luctus donec diam efficitur ipsum primis in cubilia laoreet augue egestas

Related Posts:

March 11,

Integer congue magna at pretium purus pretium

An enim nullam tempor sapien gravida donec enim blandit ipsum porta justo integer odio velna vitae auctor integer

By Joel Peterson

March 04,

Congue magna eTreeks purus pretium magnis

Donec enim blandit and ipsum porta justo integer odio a velna vitae auctor an integer congue magna at pretium nulla

By Jennifer K.

February 24,

8 neque dolor primis a libero tempus blandit

Porta justo integer odio velna vitae an auctor integer congue magna at pretium purus ligula rutrum luctus risus ultrice

By Michael Deal

February 19,

Ligula varius magna and porta a laoreet pretium

Vitae auctor integer a congue magna undo pretium at purus pretium ligula a rutrum luctus risus and ultrice blandit

By Aaron Wall