Hongera sasa wewe ni mjamzito. Huduma kwenye ukurasa huu zitakuwezesha kupambana na hali yako ya ujauzito kipindi chote cha miezi tisa mpaka ujifungue.
Mada mbalimbali zilizoandaliwa na wataalamu kukusaidia kipindi cha ujauzito.
Soma makala maalumu zilizoandaliwa na wataalamu wa afya kuhusu mbinu na ushauri kukuwezesha kupata ujauzito.
Nyenzo maalumu kukusaidia kufuatilia kwa karibu hatua kwa hatua maendeleo na afya ya ujauzito wako.
Jisomee makala nyinginezo zinazohusu mada mbalimbali za afya.