about-image

Mzee

Kipindi cha uzeeni kinaambatana na busara nyingi kiakili lakini pia afya ya mwili huanza kudhoofu kama jitihada za kuifuatilia afya yako hazitakuwepo. Afya4All ipo kukusaidia kwenye hili.

  • Fuatilia afya yako kwa karibu kuweza kutambua magonjwa na matatizo ya kiafya mapema kabla hayajakuwa makubwa na kuleta matatizo makubwa
  • Pata ushauri na taarifa muhimu kutoka kwa wataalamu wa afya zitakazokusaidia kuwa na mfumo wa maisha utakaokulinda na kukufanya uwe na afya bora na furaha kwa muda mrefu zaidi
  • Tumia nyenzo zilizoandaliwa kutumika uzeeni kuweza kutambua mwili wako unabadilika vipi na utumie mbinu gani kupambana na matatizo mbalimbali ya kiafya kipindi cha uzeeni
Anza Kufuatilia Sasa