about-image

Kupata Ujauzito

Pata ushauri na taarifa muhimu zitakazokusaidia kupata ujauzito kwa haraka kutoka Afya4All. Ukichagua huduma hii utaweza kufanya yafuatayo.

  • Fuatilia mzunguko wako wa hedhi kila siku uweze kujua ni tarehe zipi unaweza kupata ujauzito
  • Pata ushauri wa vyakula, lishe na mambo muhimu ya kufanya kukuwezesha kupata ujauzito haraka
  • Soma makala na tumia nyenzo maalumu kukusaidia wewe na mwenza wako kipindi hiki mkitafuta ujauzito
Anza Kufuatilia Sasa